About Husmukh
Jina langu naitwa Hussein Muhammad Khamis. Ni mzaliwa wa Pemba kijiji kimoja kinaitwa Shumba Mjini, Wilayani Micheweni. Elimu yangu ya msingi nimeipata Kizimbani Primary school iliyopo Wete Pemba, 2001-2007. Mnamo mwaka 2008 nilianza elimu yangu ya Secondary hadi 2011. Nimeanza Elimui yangu ya stashahada ya IT katika chuo cha Ungozi wa fedha kilichopo maeneo ya Chwaka Zanzibar mwaka 2015. Napenda kutumia Computer katika kila kazi yangu lakini kwa hakika sitowasahau wazazi wangu khasa my Mom kwani yeye ndo alofanikisha yoote haya.
1 comments:
Click here for commentsHali Za Siku Ya Qiyaamah ~ Hd Studio >>>>> Download Now
>>>>> Download Full
Hali Za Siku Ya Qiyaamah ~ Hd Studio >>>>> Download LINK
>>>>> Download Now
Hali Za Siku Ya Qiyaamah ~ Hd Studio >>>>> Download Full
>>>>> Download LINK 94
ConversionConversion EmoticonEmoticon